ukishamweka maiti katika mfano katika hali kama hii

katika kitanda kama kile kuna njia ya kuweza kupokea na jinsi ule uchafu ambao unaotoka katika tumbo. Kunatakiwa hapa yule mwenye kuosha aweze kulikamua hili tumbo lake.

Alijaribu kuliskuma hili tumbo na kulikamua kwa njia ya ulaini na utaratibu.

Akiwa anajaribu kusukuma hali kama hii, tunaanza kuona kwamba ndani yake kunatoka pengine

mbali mbali ambazo zinakua zinatoka kwa hivyo hapa

Maji yanamiminawa kisawa sawa. Maji yanaweza kumiminiwa kisawa sawa katika sehemu kama hili, ili iweze na jinsi kuteremka na kuondoka. Kwa hivyo kwa taliman hapa tutaonyesha maji yanavyo miminika katika sehemu kama hili

Katika sehemu ambayo unatarajia na jinsi inaweza kupita.

Usijaribu kutumia nguvu zako na kufinya mbavu na matumbo kuweza kuvunja pengine vitu vilioko ndani. Kwa hivyo tumia ulaini na baada ya hapo

Kujaribu kutohirisha ile najisi ambayo inateremka kwa hivyo mkono uweze kupita katika uchi wake nahapa tunahimiza watu wa nyumbani

Waweze kutawala sehemu kama hizi za siri. Waweze kumuosha kwa sababu ikiwa tutakua tumemkodisha mtu na pengine anakua na husia za kua anasikia makoroho kwa vitu ambavyo vinatoka huku, kwa hivyo hatakua hana umakinifu wa kumuisha vizuri. Kwa hivyo mmoja katika watu wa nyumbani aweze kutawala sehemu kama hii ya siri nakuweza kumtohirisha vizuri.

Inapendezwa

wakati unatoka vitu mbali mbali ambazo zinatoka ndani uchafu au choo katika hurufa kama ile ya kumuosha maiti kuweze kupatikana harufu mzuri. Harufu nzuri

ili wale wenye kuosha pale wasisikie dhiki yoyote iliwapate nafasi muhasa wakuweza kumsafisha ndugu yao kama huyo. Kupatikana na harufu nzuri iweze kunukia katika katika mwili huo.

Tunapo tubuthu kwamba tume tohirisha na kuko sawa, tunajaribu kumregesha maiti katika hali yake mzuri na huku tumemimina maji yakutosha tukahakisha hakuna chochote ambacho kimebakia katika mwili wake.

Anatakiwa aweze kubadilisha zile

ambazo amezitumia au sehemu nyingine

kupatikana

aweze kutumia hirka, tambara ambazo zimetengenezwa maalum na kuweza kusafisha sehemu kama hili.

Sasa hapa hatujaingia katika

rasmi ndani kabisa katika

tumetoa mfano wa kumtohirisha. Tumetoa zille nguo ambazo tayari maiti amekufia nazo, tumezitoa nguo kama zile tumebakiwa na nguo moja ambayo tumemfunika mwili wake mzima na sasa tutaingia katika

rasmi ya kumuosha. Kwa hivyo hapa wewe mwenye kumuosha tayari hatakiwa avae

nyingine kama tulivyoeleza asiweze kuzitumia

kama zile kwa sababu amezitumia katika sehemu za siri asiwe ni mwenye kuzitumia zile zile. Na hapa tutatumia kama tulivyoeleza maji ya mkunazi, vile vile katika mafundisho bwana mtume Muhammad

au sabuni ili iweze kumtohirisha vizuri.

Tuliofanya ni kama kumuingiza choo ama kumuingiza haja kama walivyo sema wengine katika waswahili husema, mwanzo maiti hupelekwa chooni wakisudia mwanzo anatohirishwa kama wewe mwanadamu umeingia chooni unataka kuoga, mwanzo unaingia haja zako vizuri, unajisaidia haja kubwa, haja ndogo kisha ndio unajitohirisha ndio unakuja rasmi katika sehemu ya kuoga. Kwa hivyo ni sisi tumeonyesha mfano kama huu na haya ni katika mafundisho ya bwana mtume Muhammad

Kwa hivyo

hapa tunaanza na tungeomba ndugu zetu ambao wako karibu waeze kutusaidia na maji ya kutosha na mtume Muhammad

katika hadithi ya bwana mtume yatueleza kama alivyoeleza wake zake walipokua wanamuosha Zainab kwamba wamushe mara tatu au mara tano au mara saba haya nikatika mafundisho ya bwana mtume Muhammad

Tunajaribu kumwosha mara tatu. Tukithubutu kwamba kuna dharura ya kuongeza pengine sehemu hakujasafika kulingana na sabuni na vile vifaa vya kusafishia ambavyo tumetumia tutaosha mara tano na mara saba mpaka tufikishe kwamba mwili uko sawa kabisa ukotohara ndio tuingie katika sehemu nyingine.

tungejaribu kutayarisha vifaa kamili ziwe karibu maji kamili na hapa tunao kafur. Kafur ni moja katika aliosisitiza bwana mtume Muhammed

Katika maji ya mwisho ambao tunatakiwa tuyatumie baada ya kutubuthu tohara wa mwili mzima, hakuna hathari ya sabuni athari ya maji ya mkunazi basi maji ya mwisho yatakua ni maji yenye kumiminwa kwa maiti mwilini kwake maji yale yakiwa yamechanganywa na kafuu.

kwa hivyo haya tutakuja kuyafanya

tuweze kushuhudia. Kwa sasa tunaanza kumuosha kwa hivyo ningeomba usaidizi wa karibu tuweze kusaidiana. Na kwanza kabisa hapo tutaingia kwenye

akituambia ni kumuanzisha na kumtawawisha hayo ni mambo yaliyokuja katika zama za bawana mtume Muhammad

Mwanzo tunaanza na kumtawawisha na

Bila kufanya takhsiri yeyote. Tunaanza na upande wa kulia

Tuanze upande wa kulia. Kwa hivyo tunaanza upande wa kulia. Ningeomba mwenye kumimina maji aweze kunimiminia maji

Tunaanza kuosha kitengele cha upande wa upande wa kulia kisha alafu tunosha kitegele cha upande wa kushoto

alafu tunakuja katika

kuweza kusafisha au kumsukutua yule maiti. Na hapa tutahadhari kuingiza maji katika modomo wa maiti. Maji kama yale yanaweza karudi katika utumbo ndani na utumbo hauna tena nguvu zakuweza kuzuia najisi yoyote ambayo itatoka pale. Kwa hivyo maji yakiingia ni rahisi kuweza kuteremsha zile zilizobakia ndani. Kwa hivyo inakua ni rahisi kunajisisha kafani. Wakati tunapokua tunamkafani atakua ni takhlif tunamweka mara tunaona kuna vitu ambazo zimetoka na itakua zinatuchelewesha kwa hivyo ni kwamba tuhakikishe yale maji yasiweze kuteremka ndani ya kinywa cha huyo. Kwa hivyo ningeomba wanimiminie kwa kando kidogo ili mikono kama hili viweze kulowa au vidole viweze kulowa maji. Zipate maji vizuri kisha ndio tuweze kumpitisha katika kinywa chake.

Kupitiisha na hii itakua ni

kumsukutua kwa maiti. Ama mwanadamu aliyekua hayo tuajua namna ya kumsukutua mwili wake. Baada ya kumsukutua yanayofuata kama ilivyo kuja katika udhuu itakua ni

kmwosha uso ile

ya udhuu yote iweze kutumika. Kwa hivyo na tusitumie

kuna kupangusa na kuosha. Kwa hivyo nimiminie maji kando ya kutosha katika mikono yangu niweze kubeba maji kama yale na kumuosha. Ningeomba unisaidie na hii nguo, ivute vizuri kusitiri sehemu kama hizi. Haya mimina maji mara ya pili uoshe uso wake vizuri. Mimina maji mara ya tatu ueze kuosha uso vizuri.

Na kusoha uso mara tatu tunakuja katika kuosha mkono wa kulia vile vile mara tatu. Haya mimina maji. Unamimina maji unaosha mkono wa kulia, hiyo mara ya kwanza, mara ya pili mpaka mwisho. Naosha mara ya tatu mpaka mwisho. Ningependa nizunguke upande huku niweze kuosha vizuri mkono wa kushoto.

Naosha mkono wa kushoto. Hyo ni mara ya kwanza, naomba hapa usitiri, kuosha mara ya pili. Tuanze kuosha mara ya tatu, baada ya kuosha mara ya tatuy tunakuja

kupangusa kichwa. Nipishe kaka.Nimiminie maji kando. Usijaribu kuchukua maji kuenda nayo kwenye kichwa kwa sababu

mkono ushalowa maji ndio nakwenda kupangusa kichwa pamoja na masikio.

Moja katika mafundisho ya udhuu. Katika mafundisho ya bwana mtume Muhammad

Baadaye tunakuja kuosha miguu miwili ila ikabe. Tunaanza na mguu wa kulia,

mara ya kwanza,

mara ya pili,

mara ya tatu.

Tunaosha mguu wa kushoto,

mara ya kwanza,

mara ya pili,

mara ya tatu.

Kwa hapa itakua tumemaliza udhuu wa swala kama tulivyo fundishwa na bwana mtume Muhammad

Sasa nini inayofuata baada ya hapa.

Hana najisi yeyote katika mwili wake nikama kwamba akiwa hai yuko teyari kuingia katika ibada ya swala. Ashatohirishwa vizuri ametawaza vizuri. Sasa tunaingia katika sumna ya bwana mtume Muhammad

Kumwosha mara tatu na ikizidi kwamba tunahitaji ziada tutazidisha

tusiseme tutaosha mara ya nne mpaka mara sita mara ya nane. Tutaruka moja moja kwa idadi ya

Kwa hivyo ni kuosha mara tatu,

tutakwenda mpaka mara tano na mpaka mara ya saba ilivyokuja katika hadithi ya mtume Muhammad

Akiwaambia kina

Akiwa ni anoshwa binti yake Zainab alipokufa akiwa mdogo. Kwa sasa tunaanza kumuosha rasmi.

Kwanza kabisa

Tunaanza kumuosha kichwa.

Mpaka upande wa kidevuni tunaosha kichwa kamili tunakimaliza kisha ndio tutaanza upande wa kulia kama tuliyo fundishwa. Kwa hivyo hapa tunatumia sabuni kueza kumsafisha.

Na tumesema uchunge maji yasijekuingia katika mwili wake. Na muosha kichwa hapa vizuri.

Mimina tena maji,

tosha.

Ukishamuosha kichwa tunakuja upande wa kulia lazima tuanngalie vizuri upande wa kulia

Tuanzeni upande wa kulia kama mtume alivyo waambia wake zake mtume wakati unapomuosha Zainab. Kwa hivyo tunaanza upande wa mkono wa kulia, pamoja na dhahari hii kama unavyoonyesha ndugu yangu mwanzo tunakwenda mpaka mwisho wa miguu upande wa kulia. Kisha tutakuja upande wa kushoto.

Na hapa tusifanye

kwamba mwili umekaa vizuri kwa hivyo tutamimina maji juu moja kwa moja yawezekana, lakini kufuata sumna ni bora zaidi kuliko kutumia ujuzi wetu. Kwa hivyo tuanze sehemu ya kulia na mtume ndio alivyo kua akioga mwili mzima husulu janaba katika chuo alivyo fanya vile vile. Akianza upande wa kulia mpaka chini, akianza upande wa kushoto mpaka chini kisha akianza kumimina maji mwili wake mzima.

Kwa hivyo tuanze na upande wa kulia.

Kwanzia shingoni huku,

na vizuri tuhakikishe sabuni inaweza kufanya kazi. Nipatie sabuni ilikuweza kutohirisha mwili kama huu.

Mimina

Na hapa kama mnavyo shuhudia tunatumia mifeleji lakini katika majumbani pengine huweza kutumika, vyombo vingine makofo manini au majagi yaweze kumimina maji vizuri. Na wale wasaidizi wawe wenye kumsaidishia yule mwenye kumuosha.

Unamuosha vizuri,

upande wakulia. Kisha tunakuja upande wa kushoto.

Shikilia kwa hapa ndugu yangu.

Hyo ndoo iweke chini hapo upate usaidizi mzuri.

Mpaka

mwisho wa miguu kabisa katika nyayo zake.

Safisha vizuri.

Baada ya kuhakisha kwamba sabuni imeweza kupita pande zote mbili, upande wa kulia na upande wa kushoto. Tutakua tumemaliza upande wa mbele au

ya kwanza. Sasa tunakuja katika

ya pili.

ya pili ilivyokuja kama anavyotueleza mwenye kitabu Mukhtasari

wanazoni wetu waliotangulia kwamba tuweze kumugeuza kutoka upande wa kulia kwenda upande wa kushoto. Kwa hivyo hapa tuweze kusitiri nguo zake vizuri.

Shikilia hapa ndugu yangu uweze kumusitiri mwili wake vizuri. Nipatie sabuni.

Kwa hivyo hapa tunazungusha vizuri ikiwa tunaosha upande wa kulia vile vile bila kusema tutapitisha mkono mwili mzima ama maungo yote. Tutapitisha vizuri, shikilia na hii nguo hapa usitiri vizuri,

napitisha

Mpaka mwisho wa miguu.

Naosha vizuri nahakikisha maji yanateremka vizuri mpaka mwisho.

Kwa hivyo hapa itakua tumefwata ushauri wake vizuri.

Tunajaribu kumregesha katika hali ilivyokua

uweze kusitiri hii nguo vizuri na kuweza kunyosha vizuri. Tunaingia upande wa,

upande wa kushoto. Tunajaribu kuzungusha sasa kuosha ile sehemu ambayo tulikua hatuipati vizuri kwa upande wa kulia.

Tunatumia sabuni.

Ndugu yangu shikilia vizuri hapo kwanzia shingo huku

tunapeleka

saidiana na ndugu yangu huko. Vuta miguu osha mikono huko vizuri kwa undani.

Vuta

Patikana usaidizi kwa ule mwenye kuosha asiwe ni mwenye kuchoka pekeyake. Mpaka uhakikishe mwisho kwa nyayo zimekwenda maji. Mwisho wa nyayo.

Haya tuweze kumregesha vizuri.

Mwili wake.

Tuweze kuonyesha vizuri. Kwa hivyo ni tukifanya hii

Tutakua tumemuosha kwa mara ya kwanza. Hii

tumeonyesha sasa hivi ni kuosha kwa mara ya kwanza.

Sasa tutarudi tena kwa mara ya pili na hapa ni ashiria pekeyake ili tuweze kupatiliza sehemu zingine.

Tutaosha tena,

mpaka mwisho wa miguu. Upande wa kulia tutaosha tena kwanzia shingo huku, mpaka mwisho wa miguu kwa mara ya pili.

Kisha tutazungusha tena kama tulivyozungusha upande wa kulia tuoshe kwa nyuma huko mpaka mwisho tuweze kumuregesha upande huu tumuoshe mpaka mwisho.

Tukimaliza hiyo tutakua tumemaliza kuosha kwa mara ya pili.

Tutarudi tena kwa mara ya tatu,

Mpaka mwisho wa miguu tunageuza hapa na sabuni kumbuka iko mwilini na huku tunamimina maji kwa wingi ili maji kama yale yaweze kusafika.

Tunamaliza kama kule na tunajaribu kuzungusha huku.

Ikitokea dharura kama tumeeleza kwamba bado kuna usabuni au kuna haja ya vitu kuweza kuziondosha katika mwili wake.

Tutamimina tena maji kwa mara ya nne na tutamimina maji tena kwa mara ya tano. Hapa tutahadhari

tukijua kwamba yale maji ya mwisho ndio tumeamua kuwa hatutomwagia tena maji, ni lazima tuhakikishe kwamba maji kama yale tumetia

ni harufu nzuri

huweza kufanya ule mwili wa maiti uwe na harufu nzuri. Kwa hivyo ikiwa ya tatu tukiona kwamba kuna haja ya tatu iwe ya mwisho. Basi yale maji ya mara ya tatu tuhakikishe ni maji ambayo ndani yake yana

Ikiwa maji ya mara ya tano ndio itakua ni maji ya mwisho basi maji yale tuhakikishe kwamba yana

au tunahakikisha ni maji ya mara ya saba vile vile tuhakikishe

Ile osho la mwisho iwe ni osho ndani yake liwe na maji yenye harufu nzuri maji ya kafur kama ilivyokuja katika mafundisho ya bwana mtume Mohammad

kama tulivyo eleza kwenye halaka ya tatu, halaka ya kafan. Halaka ya kafan, ni kwamba huu mwili bado ungali una maji. Umelowa maji kila sehemu. Kwa hivyo inayofuata baada ya hapo tuhakikishe kwamba mwili kama ule tumeweza kuukausha kwa nguo ambayo inakua ni kavu nguo nyingine,

na ile nguo ambayo tumemuoshea tuwezekuitoa kwa hivyo ningemuomba ndugu yangu haivute hii nguo kwa utaratubu na ulaini bila kutumia nguvu.

Itoe kwa utaratibu huku tukiweza kukusaidia na usitiri ndugu zangu waliobakia waweze kuusitiri mwili wake vizuri.

Sasa hapa,

Tutakua sasa tuweze kumkausha nikutumia hii nguo. Kwa hivyo sisi mikono yetu ndio itaonyesha tukisaidiana na ndugu kwamba tunakausha sehemu zote za mwili wake. Tuhakikishe kila sehemu tumeweza kukausha kwa sababu tunaingia katika kukafana. Haitakikani maji kama haya yaliyo lowa katika mwili yaweze

kuingia katika kafani. Kwa hivyo tuhakikishe, na ni vizuri vile vile mikono iweze kupita kwa upande wa chini iweze kupita kukausha vizuri. Upande wa chini ndugu zangu kwa upande huku tuhakikishe.

Sasa baada ya kuhakikisha kwamba mwili tumeweza kukausha vizuri na hauna maji sasa tutaingia katika

ya maonyesho ya kafani kwa hivyo hapa, mwanzo tungependa kuwaonyesha kafani iko vipi na vile malelezo ya bwana Muhammad

Kisha ndio tuweze kuwaonyesha vile kafani inavyokafanywa.